Monday, 11 August 2014
Sunday, 10 August 2014
Muendelee na JumaPili hii kwa Amani na Upendo;Burudani-Franck Mulaja,Alleluya,Nzambe malamu..!!!!!!
Wapendwa;Nimatumaini yangu Jumapili inaendelea vyema;Iwe yenye Imani,Kuomba pasipo kukoma,Uponyaji,Shukrani na kujitoa kwa wenye kuhitaji.
14.Hata walipowafikia wanafunzi, waliona mkutano mkuu wakiwazunguka, na waandishi wakijadiliana nao,15. Mara mkutano wote walipomuona walishangaa, Wakamwendea mbio,wakamsalimu.16.Akawauliza, Mnajadiliana nini nao?
Neno La Leo;Marko Mtakatifu:9:1-50
17.Mtu mmoja katika mkutano akaijibu,Mwalimu, nimemleta mwanangu kwako,ana pepo bubu;18. Na kila ampagaapo,humbwaga chini, naye hutoka povu na kusaga meno na kukonda;Nikasema na wanafunzi wako wamtoe pepo, wasiweze.19.Akawajibu,akasema,Enyi kizazi kisichoamini,nikae nanyi hata lini?Nichukuliane nanyi hata lini?Mleteni kwangu.20.Wakamleta kwake;hata alipomwona,mara yule pepo alimtia kifafa;naye akaanguka chini,akagaagaa,akitokwa na povu.
21.Akamuuliza babaye,Amepatwa na haya tangu lini?Akasema tangu utoto.22.Na mara nyingi amemtupa katika moto,na katika maji,amwangamize;Lakini ukiweza neno lolote, utuhurumie, na kutusaidia.
23.Yesu akamwambia, Ukiweza!Yote yawezekana kwake aaminie.

"Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe Sana.
Saturday, 9 August 2014
Chaguo La Mswahili Leo;Mary Mary - Shackles,Get Up,In The Morning,Shackles,Haven,Go Get It...!!!!!!!!
Waungwana;Chaguo La Mswahili Leo; ni Mary Mary..kitambo kidogo na sasa..zipi zinakubamba/kuzipenda..zamani au sasa au zooote?
Nisikuchoshe..Twende Sote sasa......
>
Nisikuchoshe..Twende Sote sasa......
>
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima
Thursday, 7 August 2014
Wednesday, 6 August 2014
Kipindi cha Maswali na Majibu kati ya Rais Kikwete na waTanzania, Washington DC
Mhe. Rais Dk Jakaya Kikwete akijibu maswali ya waTanzania |
Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa waTanzania hao
Na haya, ndiyo yaliyoulizwa kwake.
Karibu
Tuesday, 5 August 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)