Waungwana;"Jikoni Leo" ni Ugali kwa sisi Waswahili tunaita hivyo..kila watu wanajina lao...kikubwa mlo!!!!!!
Nafikiri ni chakula kinacholiwa na Wa-Afrika/sehemu kubwa Afrika.. kama siyo wote...wapo wale wasioupenda tuu lakini wanaujua..hata kwetu wapo.
Kuna wanaosema Ugali wa Ng'ambo hauivi vizuri,haunogi.....,pia kuna wanaosema Ugali wa majiko haya ya Umeme,gesi na....haunogi/hauivi vyema....Ugali mtamu na kuiva vyema ule wakupikia Kuni,Mkaa...
to cook sadza
Mbira Junction
Thanks
Pia watoto wengi wanaoishi Ng'ambo hawapendi Ugali..Sababu ni nini?
Je watoto wako wanapenda Ugali?
Pia watu wengine wanaoshi Ng'ambo wanapika Ugali mwingi na kuweka kwenye Fridge/ Freezer..ili akihitaji anapasha tuu..vipi hii wewe unaweza?
Ugali unamboga zake....
Ugali unaupishi wake...usiwe na mabuja,vidongevidonge...
Lakini kila kitu kisizidi,kikizidi hakinogi..basi si kila siku Ugali.

Zimbabwe;Thanks
Tahanks;
AfricaCookingChannel
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima.