Wapendwa;Natumaini Jumapili Ilikuwa/Inaendelea vyema,muwe na Amani,Baraka,Upendo,Furaha,Shukrani na Utukufu Tumrudishie MUNGU.....
Basi kwa mtini jifunzeni mfano;tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani,mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu;
Neno La Leo:Mathayo Mtakatifu:24:32-51
33;Nanyi kadhalika,myaonapo hayo yote,tambueni ya kuwa yu karibu,milangoni.
34;Amin, nawaambia,kizazi hiki hakitapita,hata hayo yote yatakapotimia.
35;Mbingu na nchi zitapita;lakini maneno yangu hayata pita kamwe.

"Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe Sana.