(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
imi huwa navutiwa mnoo na kazi zake dada huyu.Huwa sisiti kumuuliza pale nitakapo kujua zaidi.Sijapata nafasi ya k HayaWaungwana leo nimewaletea da'Mriam Rose wa Kinunda.
Mukutana nae,Lakini kwa mawasiliano tuu kwangu ni mtu asiye na Majivuno,dharau,Umimi/Ubinafsi.Ni dada Mcheshi na mwenye Upendo, na meeengi.
Hongera sana na Ahsante sana da'Miriam Rose kwa yooote,Mungu azidi kukubariki.
Kufahamu zaidi kazi zake na yeye ni nani ingia "Taste of Tanzania" http://www.tasteoftanzania.com
Wimbo huu ni maalum kwa ndugu yetu msanii Sajuki ambae anahitaji mchango wako wako wa hali na mali kuokoa maisha yake. Sajuki anasumbuliwa na uvimbe tumboni na mwezi huu anahitajika kusafiri kwenda nchini India kwa matibabu.
Wimbo
huu unatoka katika filamu aliyowahi kuifanya na mkwewe ya MBONI
YANGU.Na wimbo huu upo ndani ya filamu hiyo aliuimba Wastara.Wimbo huu
umerekodiwa kuhamasisha na kumchangia Sajuki. Kutoa ni moyo bado
hujachelewa. Unaweza kutuma mchango wako kupitia AKIBA BANK A/C # 050000003047 A/C ni ya mke wake Sajuki, Wastara Juma au unaweza kutuma kupitia M PESA 0762189592.
Mimi na wewe tunahitajika katika hili.
Habari zaidi na Picha,utazipata. http://www.jestina-george.com
Nawatakia J'Pili Yenye Furaha,Upendo,Uvumilivu,Fadhili,Busara,Kiasi na Shukrani. Utamlinda yeye ambaye moyo wake Umekutegemea katika Amani Kamilifu,Kwa kuwa Anakutumaini Neno la Leo;Isaya 26:3-4. Mbarikiwe Woooote.