Naye ndiye Funga Dimba[Mtoto wa Mwisho] wa Familia hiyo.
Da'Leyla Tunakutakia kila lililo Jema Maishani.MUNGU Azidi kukubariki na kukulinda kila iitwapo Leo.Akupe sawaswa na Mapenzi Yake,Uwe baraka kwa Watu Woote.
Pamoja Sana. MUNGU NI PENDO
Baba, Mama na Mwana |
Wapendwa walioungana na Familia kwenye ibada ya Ubatizo |
Zawadi ya Rosary kutoka kwa ma'Mkubwa Stellah |
Da'Tecla[mama wa Ubatizo] da'Farajika[mama mazazi] na Binti yao.MUNGU Awabariki saaaana. |
mama na baba wa Ubatizo na Familia ya Mungai |
Familia |
Kaka Richad na kaka Isaac, watoto kwa mbalii nao walikuwepo |
da'Joyce,da'Farajika,da'Stellah ,da'Tecla na mtoto wao!! |
Mamazzzz Pamoja sana. |
mama totoo na baba totoo na shangazi walikuwepo!! |