(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Wapendwa muwe na J'Pili Njema na Amani,Upendo,Fadhili,Shukrani,Baraka,Furaha... Naye alipowaona makutano,alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi,Wanafunzi wake walimjia; Neno La Leo Mathayo Mtakatifu:5:1-12.Heri masikini wa roho;Maana ufalme wa Mbingunini wao.Endele..... "Swahili NA Waswahili" Amani na Upendo.
Waungwana Siku kama ya Leo dada yetu Kipenzi PHOIBE Alizawali. Ujumbe wake hapo chini; AHSANTE SANA MWENYEZI MUNGU KWAKUNIPA UHAI HADI SIKU YA LEO. SIO KAMA MIMI NI MWEMA SANA ILA UNAMAKUSUDI YAKO YA KUNIWEKA HAI HADI SIKU YA LEO. NAKUSHUKURU SANA MUNGU WANGU, MAMA YANGU WEWE NDIYE ULIYENILETA DUNIANI TAREHE KAMA YA LEO MIAKA 43 ILIYOPITA, NAKUSHUKURU SANA MAMANGU MPNZI NAKUTAKIA MAISHA MAREFU SANA. KWAKO WEWE BABANGU KIPENZI JP NAKUSHUKURU SANA KWAKUNILETA DUNIANI INGAWA SIKU YA LEO HAUPO NAMI. NAKUOMBEA SANA BABANGU NAKUMISS SANA. R.I.P MY DAD. AHSANTE SANA MUNGU KWA MEMA YOTE UNITENDEAYO. Nasi tunakutakia kila lililojema,Baraka,Amani,Furaha na Maisha marefu kama bibi Mwanapenza...... "Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
Waungwana; Mjumbe hauawi..Mambo ya Urembo..kunamsemo unasema Ukitaka UZURI lazima UZURIKE.... [Hata kama Mzee usiitishe ule Uzee lazima uvae vizuri ukawe poa ukawe SHOSHOO CLASSY]!!!!! Hahahahaha..Unalo la kuongezea? kujua zaidi Mambo ya Mitindo na Urembo Ingia;http://mitindoafrica.blogspot.co.uk/
Ili uweze kufikia malengo yako ya kibiashara, unaweza kuwasiliana na 99graphix wabunifu wa aina mbali mbali za logo (Nembo). 99Graphix Design Email: 99graphix@gmail.com http://99graphixdesign.blogspot.com/
au unaweza kuwasiliana nami kwa;Email;rasca@hotmail.co.uk
Wapendwa tumalizie J'Pili hii..kwa Kheri,Baraka,Amani na upendo...... Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki;Wala hakusimama katika njia ya Wakosaji. Neno La Leo;Zaburi;1:1-6.Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki,Bali njia ya wasio haki itapotea.. " Swahili NA Waswahili" Mbarikiwe Sana.