Monday, 9 September 2013
Sunday, 8 September 2013
Tumalizie J'Pili hii Vyema na Amani;Burudani-Upendo Kilahiro!!!!
Tumalizie J'Pili hii vyema na Amani.....MUNGU na atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake.
Neno La Leo;Zaburi:66:1-7..MUNGU atubariki sisi;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
Neno La Leo;Zaburi:66:1-7..MUNGU atubariki sisi;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
"Swahili Na Waswahili" MUNGU ni Mwema Sanaa.
Wednesday, 4 September 2013
Mswahili wetu Leo;Prof.Ahmed Nabhany- Jukwaa La Mashairi
Waungwana; Jukwaa La Mashairi.Jukwaani Leo na Mshairi,Mswahili wetu ; Prof.Ahmed Nabhany, Anatuchambulia tofauti ya Mashairi.
Wewe unapenda Mashairi? ni Mtunzi /unajua Mashairi,Ngonjera au?
Karibu Sana.......
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.
Monday, 2 September 2013
Unaijua Hii? Si Ya Kukosa kabisa ni-FAHARI PASSION 2013!!!!!!
FAHARI PASSION 2013Tanzania Women's Association (TAWA)Saturday, 7 September 2013 at 18:00 - Sunday, 8 September 2013 at 00:00 (BST)London, United Kingdom |
This is a ticket only event. Please follow the link to get tickets.
www.faharipassion2013.eventbrite.com
If any tanzanian upcoming jewellery or fashion designer would like to get involved message the TAWA page
or email info@tawa-uk.com
or contact:
Rose Kiondo - +447881098020
Sara Abood - +447908185618
Monique Ferguson-Rowe - +447949267007
Mariam Mungula - +447770910901
Thanks and we hope to see you there!
Sunday, 1 September 2013
Nawatakia J'Pili njema ;Tusifu na Kuabudu-Burudani-How Great Thou Art,Great is thy Faithfulness,To GOD be the Glory!!!!!!
Wapendwa sina Maneno Mengi ni Kusifu na Kuabudu..MUNGU wetu ni Mwema Saana;[14]Zaidi ya hayo yote jivikeni Upendo,ndio kifungo cha ukamilifu.
[16]Neno la kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote,mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni;huku mkimwimbia MUNGU kwa neema mioyoni mwenu.
Neno La Leo;Wakolosai:3:12-17.Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo,Fanyeni yote katika jina la BWANA YESU,mkimshukuru MUNGU BABA kwa yeye.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.
Saturday, 31 August 2013
Wednesday, 28 August 2013
Wanawake Na Majukumu;Vipaji/Ubunifu!!!!!
Waungwana;Wanawake Na Majukumu;Vipaji/Ubunifu/Ujuzi..
Wapo Wanawake weengi sana wanajua Vitu/Mambo Mbalimbali lakini Hawajulikani.
Unafikiri ni Kwanini?
Wewe mwenzangu unajua/Una kipaji/Ujuzi Gani /nini?
"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima
Subscribe to:
Posts (Atom)