(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Nawatakieni kheri na Baraka wakati huu wa Eid na Siku zote!!!
Tunapokula na Kunywa, Tusiwasahau Wenye Shida na Tabu, Wagonjwa,Wajane na Yatima, Waliomagerezani pasipokuwa na Hatia.Tugawane tulichonacho ili Tufurahi pamoja!!!!!
Haya ,Eid njema,na wewe,natamani ningekuwa bongo,pilau,maandazi uji wapilipili.. we achatu,ila sasa ukialikwa kwa wenyewe mashekhe,kipengere cha kukaa kukunja miguu ,kwa sisi wengine inakuwa shughuli pevu.haya faidi dada yangu. kaka S
EID MUBARAK kwako pia MDADA!
ReplyDeleteEID NJEMA KWA WOTE... tUSHEREHEKEE KWA FURAHA NA UPENDO!!
ReplyDeleteHaya ,Eid njema,na wewe,natamani ningekuwa bongo,pilau,maandazi uji wapilipili.. we achatu,ila sasa ukialikwa kwa wenyewe mashekhe,kipengere cha kukaa kukunja miguu ,kwa sisi wengine inakuwa shughuli pevu.haya faidi dada yangu. kaka S
ReplyDeleteshukran
ReplyDeleteShukurani na wewe pia!
ReplyDeleteSawa bwana japo walisherehekea kishetani kwa madisco na ulevi kishenzi yani.
ReplyDelete