(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Haya wapendwa leo ni kitu Halwaa kwa Kahawa,kuna inayochanganywa na Ufuta,pia kuna ya Karanga, hizi ndizo nilizowahi kula, kama kuna nyingine wewe unajua Tufahamishane!Vipi lakini Kitu Halwaa na Kahawa Vinapanda/Unapenda? au Hujafanikiwa kuonja? Karibuni sana Waungwana!!!
4 comments:
Mmmmhh mimi sijawahi kabisa kusikia hilo jina la Halwaa na kahawa ndo situmii kabisaaaaa!!Labda nipate maelezo kidogo.
Tehtehtehteh dada wa mimi Yasintaaaa, mambo ya pwani hayo,Inatengenezwa/kuliwa zaidi na watu wa Pwani.
Nisijifanya nimeelewa inatengenezwa kutumia nini? au labda ina jina jingine?...kapulya
Ndugu yangu tamua hiyooh.Tupo pamoja
Post a Comment