Naye alipowaona Makutano,alipanda mlimani;na alipokwisha kuketi,Wanafunzi wake walimjia;.Akafumbua kinywa chake,akawafundisha,akisema,Heri walio maskini wa Roho Maana ufalme wa mbinguni ni wao.Heri Wenye huzuni;Maana hao Watafarijika.Neno la Leo;Mathayo Mtakatifu:5;1-16.Mbarikiwe sana!!!
1 comment:
Asante sana dadake na wewe jumapili njema na familia yako mpendwa,ubarikiwe.
Post a Comment