Ni juma pili nyingine tena Mpendwa,Tunamshuru sana Mungu kwa kututunza siku zote,Mimi na Familia yangu tunawataki kila lililo jema na Baraka,Amani,Upendo,Umoja na Utuwema.Mungu awe nawe kila inapotwa Leo.Tusamahe na kuomba Msamaha pale tunapokosana/kukwazana.Mungu ni Pendo Apenda Watu.Mimi nakupenda wewe!!!.Twende Sote sasa,PAMOJA SANA!!!!!
3 comments:
Rachel! umenena leo ni kweli kabisa katika maisha jamboi zuri ni kusameheana..Nimependa ulichoandika leo...Jumapila njema sana kwako na familia na kwa kila atayepita hapa abarikiwe sana.
Ahsante dada yangu kipenzi changu Yasinta,Pamoja sana!!
Nimechelewa..... JUMATATU NJEMA!
Post a Comment