Waungwana;"Wanawake na Mitindo" Leo tuangalie Nywele, jee wewe Mama/Dada unapenda kutengeneza Nywele na unapendelea Mitindo gani? Baba/kaka jee unapenda Mkeo,Dada na... atengeneze vipi Nywele?
Jee Nywele ndiyo Kivutio kikubwa kwa Wanawake/Kina dada?
Kuona picha zaidi ingia kwenye Kibaraza chetu kipya cha;Mitindo Africa
"Swahili NA Waswahili" Karibuni Wooote!!!!!
Mitindo yote ipo poa kabisa..pia inategemea na kichwa cha mtu kimekaaje ..ila yote mizuri...
ReplyDeleteVery awesome blog !! I couldnt have wrote this any better than you if I tried super hard hehe!! I like your style too!! it's very unique & refreshing…
ReplyDeleteKUNA ILE ILIKUWA IKIITWA vitunguu, twende kilioni, na nini tena, hiyo mitindo imeishia wapi?
ReplyDeleteAsante waungwana. haaahha ndugu wa mimi Emu-3 ipo ngoja niitafute nikuwekee.......
ReplyDeleteJamani nna nywele natural na uso mpana nahitaji kusuka sijui nisuke nn!
ReplyDeletemitindo hiyo ni mizuri lakini kilichokosekana ni majina. basi utuekee na majina yake.
ReplyDeleteKaka Mohamed Soud..majina kwakweli duuh ok nitajaribu kufuatilia nikiyajua nitayaweka..
ReplyDeleteasante sana karibuni tena.