(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Monday, 12 November 2012
Da'CHIKU ETUTU'S BABY SHOWER,Waalikwa[2]!!!!
Da'Chiku MUNGU alikuingiza vyumba vyote....Mrembo mke wa Etutu!!
Wapendwa mmetokelezea/Pendeza sana na MUNGU awape Moyo wa ushirikiano Daima na Mapenzi.
Swahili na Waswahili Tunakutakia kila lililo Jema na Baraka.MUNGU azidi kuwabariki katika Uzao wenu.
Bibi na Bwana ETUTU..Wanawashukuru Wooote.
Picha na Mpiga wetu Bai mwana wa Mussa,Shukrani Mingi.
HONGERANI NYOTE, Tupo pamoja ndugu wa mimi
ReplyDelete