Muendelezo wa 147 Critics;leo tunamsikiliza mdau na mwanamuziki muhimu kwenye Tasnia ya Muziki wa kizazi kipya Dully Sykes.Ufahamu wake kuhusiana na marekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147 yanayogusa Muziki na Filamu.
Tumsikilize Critics 147: Dully Sykes (4) Akiwa ni mtu wa nne kuelezea maoni yake kupitia Video;
Muendelezo wa mahojiano na wadau mbalimbalikuhusiana namabadiliko ya sheria ya Ushuru wa Bidhaa Sura ya
147,uelewa wao na nini mitazamo yao!
"Swahili NA Waswahili" Pamoja sana.
No comments:
Post a Comment