MUNGU akamwambia Ibrahimu,Sarai mkeo,hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jijna lake litakuwa SARA.
Neno La Leo;Mwanzo:17:15-22.Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka,ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao...
Hongereni Kina BABA Wote...Nawe usiyekuwa na mtoto na unapenda/hitaji kuitwa/kuwa na Watoto MUNGU Hajakuacha/kukusahau..Usikate Tamaa Soma hili Neno Uone Abrahamu MUNGU alimtendea....
Wakati wa Home work..hapa hakijaeleweka.. |
Hapa kuna matumaini.... |
Hapa urafiki.. |
Kutembea tembea baada ya yote!!!!! |
"Swahili NA Waswahili" MUNGU Awabariki
Alo inapendeza sana naanza kujiuliza kama nilikuwa rafiki na babangu...Mungu awabariki!!
ReplyDeleteHongera chemeji kwa kuwa baba mwema
ReplyDeleteAsanteni sana..Mwanakwetu ulipote sana..
ReplyDeleteKadala kwanini unawaza kama ulikuwa rafiki wa baba?
Alikuwa makali,Mila,Heshima au woga?