Thursday, 26 September 2013

Wanawake Na Mitindo Ya Nywele;Box Braids!!!



Waungwana;Wanawake Na Mitindo, Hii mitindo sasa inaenda na Inarudi..Lakini haiishi hamu,Zaidi Style za Ubanaji zinaongezeka..haya ukibinua kushoto/kulia Juu/Chini inakwenda tuu na inapendeza sana.

Unakumbuka mitindo/misuko hii ya Rasta ilianza lini?
Jee wewe unaipenda? na jee inampendeza kila mtu au inaendena na sura ya mtu.. Nyembaba/Ndefu.Pana/Mviringo?
Vipi hii Mitindo inaendena na Umri?

Mwanamke Kupendeza na Kuiga sawa/kupo, Lakini tusivuke Mipaka.
Karibuni Wote Kwa Maoni/Mawazo, Ushauri,Tuelimishane kwa Upendo.

Kwa Mitindo Zaidi ingia;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.com/

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana

4 comments:

  1. Kuna wanaume wanasuka, na yenyewe ina mitindo yake, ...mmh, sasa kusuka, kuvaa hereni, tunasubiri kuvaa gauni

    ReplyDelete
  2. Keep this going please, great job!

    ReplyDelete
  3. Keep on working, great job!

    ReplyDelete