(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Sunday, 24 November 2013
Nawatakia J'Pili Njema;Burudani-Here I am to Worship[Playlist]!!!!
Wapendwa;Muwe Na J'Pili yenye Baraka,Amani,Upendo na Furaha... Lakini nafsini mwangu nalikusudia hivi,nisije kwenu tena kwa huzuni... .Maana mimi nikiwatia huzuni,basi ni nani anifurahishaye mimi ila yeye ahuzunishwaye nami? Neno La Leo;2Wakorintho:2:1-11.
2 comments:
Jumapili iwe njema na kwako pia.
Asante KADALA wa mimi.
Post a Comment