Waungwana;Wanawake na Mitindo Ya Nywele...
Hivi ni kweli Nywele ndiyo pambo kubwa kwa Mwanamke?
Kujua/Kuona Zaidi nifuate huku;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
Hivi ni kweli Nywele ndiyo pambo kubwa kwa Mwanamke?
Kujua/Kuona Zaidi nifuate huku;http://mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.
Wamependeza mno ntajaribu siku moja kusuka hivyo:-)
ReplyDeleteUtapendeza sana KADALA..Upi umeupenda zaisi?
ReplyDeletewacha weee nimeipenda sana hiyo mitindo ila tatizo huku kwetu hakuna wataalamu wa kusuka kama hivyo,mweeeh!
ReplyDeleteNilivyokumiss mwanakwetu sisemi,salamu zako nimezipata asandi sana me love love love you miiiiingi.
Dada Edna nimekuona ktk mtandao ulikomenti juu ya nywele...sasa nikaisi kuwa huenda wewe ni ndugu yangu mana kuna neno kama asandi linafanana na kiligha chetu....hasante....
DeleteNimefurahi kuku ona tena Mwanakwetu..Nami nilikumiss saaana.
ReplyDeleteNywele nzuri na ukimpata wa kukusuka hizo bei zao sasa?
Msalimie Shemeji wa mimi...MINGIIIII LOVE.