(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!
Sunday, 23 February 2014
Natumaini J'Pili Inaendelea Vyema;Burudani-Yesu Ni Bwana by E R Mwansasu Chidumule!!!
Natumaini J'Pili inaendelea vyema;Na asubuhi walipokuwa wakipita,waliuona ule mti umenyauka toka shinani. Neno La Leo;Marko Mtakatifu:11:20-26. Kwa sababu hiyo nawaambia,Yo yote myaombayo mkisali,aminini ya kwamba mnayapokea,nayo yatakuwa yenu.
2 comments:
Akubariki nawe pia familia. Mmetokezea....
Ameen Ameen.Asante KADALA.
Post a Comment