Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 7 April 2021

Jikoni Leo;Mboga 10 Za Kula na Ugali-4;Kuku wa chukuchuku...

 

 





Jikoni Leo;Mboga za Kula na Ugali ;4Kuku ;Chukuchuku ;Nimeunga kutumia; Nyanya,situmii za kopo,na huwa simpenzi sana wa kuzisaga labda niwe na haraka sana,Namenya (kizamani🀣) ;kitunguu maji-cheupe, ;Kitunguu swaum sijui thoum πŸ™ŒπŸ½ Tangawizi,hivi nanunua nakusaga nyumbani πŸ€“ ;karoti ;hoho za rangi zote ;chumvi/maggi Ndimu/Limau ;Roiko/Simba mbili-siyo lazimaa ;pilipili mbuzi natupia karibu na mwisho ;Kuku Wagumu Kuunga; Unaweza kuweka Nazi/Mafuta Mimi nimechemsha tuu(chukuchuku) ;Nimeosha ;Nikachemsha kwa chumvi/maggi,ndimu/limau ;Kitunguu swaumu/thoum ;Tangawizi ;Pilipili mtama/manga[blacpepper]...kwanza Baadae nikaweka maji kidogo karibu na kuiva,maji yamebaki kiasi nikaweka viungo vyote,vikaiva pamoja na mchuzi ukabaki kiasi.... Hayaaaah kazi kwenu mnaweza kuongezea ujuzi nilipokosea ;siyo mpenzi wa viungooo vingii kama unapenda wewe Rukhsa πŸ™πŸ½ Jikoni leo;Mboga 10 za kula na Ugali πŸ˜‹ : :Ugali una mboga zake jee wewe Unapenda mboga zipi kula na Ugali? :Mimi nitaweka hapa ninazo Zipenda na zinazo patikana hapa tulipo 😊 : πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Kitchen today #mboga10​ Jikoni Leo πŸ‘©πŸΎβ€πŸ³ :#chakula​#kupikaβ€‹πŸ‘©πŸΎβ€πŸ³πŸ₯˜ #kitchentoday​ #inmykitchentoday​ #jikonileo​ #mboga​ #Ugali​ #mapishi​ #mpishi​ #veggies​ #chicken​ #kuku​ #cooking​#food​#foodie​#foodblogger​#tanzanianfood​#tanzaniaβ€‹πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #eastafrica​#bbcfood​#cnnfoodβ€‹πŸ˜‹ #Coventry​#UK​#lifestyleblogger​#vlogger​#mswahiliβ€‹πŸ‡ΉπŸ‡Ώ#Rachelsiwa

 

No comments: