Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Sunday, 30 January 2011

Wanawake na majukumu!

›
Wanawake wa zamani na waleo nani wanamajukumu mazito?.Tulinganishe wa vijijini wa leo na wa zamani, Pia wa mjini  wa leo na wa zamani. W...
10 comments:
Tuesday, 25 January 2011

Wanaume na mitindo!!!!!!!!!

›
Kumekuwa na mitindo mingi ya wanaume kama,kusuka,kunyoa kipara,kuweka rasta,kuvaa hereni na mingine mingi!jee mitindo hii inaendana na umri...
15 comments:
Wednesday, 19 January 2011

Unapokuwa na mawazo faraja yapatikana wapi?

›
Yaweza patikana kwa kusoma  vitabu,  kwenye mikusanyiko,kuwapekeyako au? Nasubiri kwako msomaji maana kila mtu ana mawazo ila kuna yan...
21 comments:
Tuesday, 11 January 2011

Je matendo yako ya utotoni yanafanana na watoto waleo?

›
kuvaa nguo za kufanana,,kunywa maji kwa kikombe kimoja, kugombea kitu kama mimi nimekiwahi hiki na vingine vingi!!!!!!!!!!!
11 comments:
Monday, 3 January 2011

Jikoni leo ni kwa mama Tunu Pinda!!!!!!!!!!!!

›
6 comments:
Thursday, 30 December 2010

Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva ni heshima au starehe?

›
9 comments:
Wednesday, 22 December 2010

Michezoni leo! Ni Farid mswahili wa Holland !!!!!!!!!!

›
Mswahili Farid  akiwachanganya wazungu!Nini kifanyike ili Tanzania tufikie malengo katika michezo?
5 comments:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.