Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Saturday, 26 February 2011

Zilipendwa!!!!!!!!

›
Haya wapendwa vipi mitindo ya zamani  bado inamvuto?.Je wewe  unaikubali, unaweza kuirudia au itabaki kwenye kumbukumbu!!! karibuni sana  wa...
6 comments:
Monday, 21 February 2011

Wanaume na Majukumu!!!!!!!!

›
Wanaume wanaokaa vijiweni(maskani), wanaocheza bao siku nzima, wanao shinda vilabuni,wapambe na wengine.Je niukosefu wa kazi,mitaji,ubuni...
10 comments:
Monday, 14 February 2011

Watoto na Uhuru!!!!!!!!

›
Wazazi /Walezi wenzangu.Wewe una  mawazo  gani  kwa watoto chini ya miaka 15,kupewa uhuru wa kusheherekea  siku zao za kuzaliwa na rafiki za...
9 comments:
Wednesday, 9 February 2011

Wanawake na Mitindo!!!!!!!!!!!!!!!!

›
Haya wapendwa!Mitindo hii wewe unaionaje au ndiyo kwenda na wakati?. Je mitindo inatakiwa iendane na sehemu usika? Yaani kama kwenye, Har...
8 comments:
Friday, 4 February 2011

Jikoni leo ni Makande!!!!!!!!!!!!

›
Leo ni mwendo wa Makande wapendwa .Wengine wanayaita Pure sijui wewe  unayaitaje!!!! Jee wewe vipi  unayapenda ?na unapenda kushushia ...
23 comments:
Sunday, 30 January 2011

Wanawake na majukumu!

›
Wanawake wa zamani na waleo nani wanamajukumu mazito?.Tulinganishe wa vijijini wa leo na wa zamani, Pia wa mjini  wa leo na wa zamani. W...
10 comments:
Tuesday, 25 January 2011

Wanaume na mitindo!!!!!!!!!

›
Kumekuwa na mitindo mingi ya wanaume kama,kusuka,kunyoa kipara,kuweka rasta,kuvaa hereni na mingine mingi!jee mitindo hii inaendana na umri...
15 comments:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.