Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Monday, 28 March 2011

Jikoni leo ni kwa Babu Ambi!!!!!!!!!!!!!!!!

›
Haya wapendwa jikoni kwa babu leo!!vipi wewe binafsi kikombe cha babu Ambilikile unakiamini?. Sema na Moyo wako!!!!!!Nasi tunataka kujua...
12 comments:
Friday, 25 March 2011

Pozi la leo!!!!

›
Mpendwa picha na pozi.Unakumbuka picha za zamani za studio imepambwa maua? Kama si sasa ulipiga ulipokuwa mtoto au wazee/wazazi wako,Je ...
3 comments:
Thursday, 24 March 2011

MSIBA KWA FAMILIYA YA MZEE NGONYANI!!!!!!!!!

›
DADA  ASIFIWE NGONYANI HATUNAE TENA!!. Mpendwa /Bloga wetu da Yasinta na Familiya ya Ngonyani,Wanasikitika kutangaza kifo cha Bin...
4 comments:
Monday, 21 March 2011

Wanaume na Mitindo!!!!!!!!!!!

›
Leo sina la kusema wapendwa!!! Naicha hii mada mikononi mwenu!! Inaweza kuwa nzuri kwako/mbaya kwa mwenzio.Je wewe Mwanamke/dada unapenda Mu...
7 comments:
Wednesday, 16 March 2011

Kuna Wanaojikondesha na Wanaokonda si kwa Kupenda!!!!!!!!!!!!!

›
Wapo  wanaotamani  hata Uji wa chumvi na hawapati,Wapo wanaoweza kupata chakula chochote watakacho,lakini hawali kwa sababu wanafanya Diet. ...
8 comments:
Saturday, 12 March 2011

Wanaume Wanaopigwa na Wake zao!!!!!!!!!!!

›
Hivi  kuna Wanaume  wanaopigwa  na  kunyanyaswa  na  Wake zao? Je nao wanakitengo cha kuwasaidia kama vile Tamwa na kwingine? Kwanini  ke...
12 comments:
Tuesday, 8 March 2011

Siku ya Wanawake!!! Mshindi wa Shindano la Wanawake wenye HIV!!!!!!!!!

›
Mwanamke kutoka Botswana, Anaeishi  na  virusi  vya  Ukimwi. Mashindo hayo ya Wanawake yaliyo fanyika  2007 , Wanawake walijitokeza ili k...
10 comments:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.