Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Wednesday, 1 June 2011

Mapenzi/Mahusiano ya Jinsia Moja!!!!!!

›
Kumekuwa na Ongezeko  la Mahusiano ya kimapenzi  ya Jinsia Moja, Mpaka kutaka /kufunga Ndoa za jinsia Moja.Kuna baadhi ya Nchi wanapinga mpa...
8 comments:
Tuesday, 31 May 2011

Siku kama ya Leo dada Upendo Penza Alizaliwa!!!!!!!!

›
Dada/Mdogo wetu Upendo[Mwana Penza].Siku kama ya leo alizaliwa na kuongeza idadi ya watoto wa Familia ya Bibi na Bwana J,Penza.Pia idadi ...
11 comments:
Saturday, 28 May 2011

Usingizi Unaraha yake!!!!!!!!

›
Kuna asiyependa kulala?Usingizi nao ni Starehe jamani au mnasemaje?Nawatakia mwisho wa wiki mwema.
8 comments:
Wednesday, 25 May 2011

Je Utoto wako Ulipitia huku???.

›
Kunamambo mengi sana  watu hupitia katika safari ya Maisha ya Utoto mpaka Ukubwani.Kama Udokozi wa mboga,pesa,Sukari.Pia Kujaribu kuvuta Sig...
8 comments:
Monday, 23 May 2011

Tracey atimiza miaka 10!!!!!!!!!!!!!

›
 Tracey-Sarah, Ametizimiza miaka 10,hapo amepozi akitafakali duhh nimekuwa dada sasa.   Yaani mimi ndiyo nimefika maika hii? K...
11 comments:
Friday, 13 May 2011

Kutokana na Tatizo la kublog, Sabrina atafuta Njia!!!!

›
Tangu jana kulikuwa na tatizo la kublog,,Mtoto Sabrina akaona ngoja ajaribu kutengeneza!!!!!Alifikiri Tatizo lipo kwa Shangazi yake tuu.Wape...
4 comments:
Saturday, 7 May 2011

Watoto na Urembo!!!!!!

›
Mzazi/Mlezi na Mwana familia.Unamawazogani kwa watoto wadogo na  kujiremba?. Hasa kwa mtoto wakike wa Leo/Sasa, Unafikiri ni umri gani kwak...
12 comments:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.