Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Saturday, 31 March 2012

Chaguo la Mswahili Leo,mambo ya Taarab-Utalijua Jiji!

›
Haya Waungwana mambo hayo, hahaaaa Mambo ya Taarab... Swahili na Waswahili twende Sote sasa!!
1 comment:
Friday, 30 March 2012

Usingizi Unaraha yake Jamani,Usiku Mwema!!

›
1 comment:
Thursday, 29 March 2012

MAZISHI YA MAREHEMU DENIS OSWALD KAPINGA

›
Ndg. Joseph Oswald Kapinga Ndugu Joseph Kapinga pichani hapo juu anapenda kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuwa Rati...
Tuesday, 27 March 2012

Jikoni Leo-Ni kwa Mama Mwakitalu!!!Pata na Burudani ya Ngoma!!!!![Mwanamke jiko au Mwaume Jiko?]

›
Da'Masika/mama Mwakitalu Mboga za Majani Mchanganyiko,Majani ya Kunde na Majani ya Maboga Mchuzi wa Samaki Umeungwa/wekwa...
5 comments:

MWAKILISHI WA UNOPS NCHINI SIERA LEONE NDUGU OMARY MJENGA AKISALIMIANA NA RAIS KIKWETE WAKATI WA MAZISHI YA MKUU WA WILAYA YA LIWALE MAREHEMU VICTOR P. CHIWILE JANA KIBAHA.

›
Mmoja wa waombolezaji akimsalimia Rais Kikwete kwa kuibusi Pete yake, kulia ni Ndugu Omary Mjenga akishuhudia tukio hilo. ...
Sunday, 25 March 2012

Nawatakia J'Pili Njema Woote!!Burudani-AIC Chang'ombe Vijana Choir - Hakuna

›
Nawatakiaeni J'pili njema yenye kheri,Baraka,Upendo na Utu wema. Neno la Leo;Zaburi ya 121:1-8.Nitayainua Macho yangu niitazame Mili...
3 comments:
Saturday, 24 March 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Twanga Pepeta - Mtu Pesa na nyingine nyingi!!!

›
Papaa Sunday, Yeye ndiyo aliyenianzishia wana Twangwa leo, Ahsante kaka yangu, Duhh Pia nimekumbuka Mengi sana Ndugu yangu. Papaa Huyu tu...
1 comment:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.