Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Thursday, 31 January 2013

Jikoni Leo,Shaba,Soda Mtungini na.....!!!!!!

›
    Kitu cha Shaba..Pilau..haswaa hii la Shughulini..... Soda za kwenye Mtungi...nimezipata hukooo Ruhuwiko....   Kitu Chi...
2 comments:
Wednesday, 30 January 2013

Watoto Na Mitindo;Pata na Video Hairstyle Slideshow!!!!

›
Aliye msuka huyu  ndiyo aliyekuwa akiwasuka watoto wangu..Nimefurahi kusikia bado yupo na anaendelea vyema na kazi zake kwa watoto......
6 comments:
Sunday, 27 January 2013

Natumai mlikuwa na J'Pili yenye Kupendeza;Burudani-Bahati Bukuku-Dunia,Samehe!!!!!!!!!

›
Wapendwa natumaini mlikuwa na J'Pili yenye kupendeza..... Tumalize J'Pili hii kwa..... Neno La Leo;Wakolosai;3:18-25; [...
2 comments:
Monday, 21 January 2013

Jikoni Leo;Ugandan foods & Cuisines!!!!!!!

›
Waungwana; Jikoni Leo Tupo Uganda...Pata kujua Mapishi yao na Maandalizi yoote. Mengi sina ukitaka kujua Uhondo wa Ngomaaa..Ingia Uchez...
Sunday, 20 January 2013

Wapendwa Nawatakia J'Pili Yenye Ushindi;Burudani-Geraldine Oduor - Wewe ni Mungu na Nyingine Nyingii!!!

›
Wapendwa Poleni na Snow natumaini hamjambo na kufurahia majira aliyoyaweka MUNGU na kushangilia. Ikiwa snow kama Greenland  Mchanga na ...
5 comments:

Jikoni Leo;Tupike Pamoja-Recipe of Basic Cupcakes for beginners - Mapishi ya (In swahili subtitle...!!!!!!!!

›
This is a video showing how to make basic Cupcakes for beginners, for East-African users and all the swahili speakers all around the wo...
Saturday, 19 January 2013

Chaguo La Mswahili Leo:Mambo ya Pwani;AT - Bi Harusi,Mzee Yussuf-Na hiili Kaseme,Offside Trick-Aambiwe na Nyingine nyingiii!

›
w Waungwana;Chaguo la Mswahili Leo ni Mambo ya Mduara/Taarab..... Ralaralaaaaaa...lalalaaaahhhh..Mmmhh ....mimi sina Mengi kama wew...
4 comments:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.