Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Wednesday, 31 July 2013

Wazo La Leo;Kutoka Kwa da'Rose-MWANADAMU MWANADAMU MWANADAMU!!!!!!

›
Mwanadamu yeyote anayeweza kuongea na wewe gizani, anayekupa ujumbe fulani kwakutumia jina la kivuli,mwanadamu aliyekosa ujasiri...
1 comment:
Monday, 29 July 2013

Waswahili Na Maisha Yao;Futari Ya Pamoja Marekani[DMV]!!!

›
Waungwana; "Waswahili na Maisha Yao" ,Waswahili wa Marekani DMV, wana utaratibu huu wa kukutana pamoja kila J'mosi na ...
1 comment:
Sunday, 28 July 2013

Natumai J'Pili inaendelea Vyema;Mbarikiwe Wote-Burudani-Shout To The Lord, na nyingine!!

›
                     Ni kwa Neema ya MUNGU tuu.... Wapendwa Nawatakia J'pili yenye , Rehema,Neema,Fadhili,Shukrani,Hekim...
Saturday, 27 July 2013

Siku kama yaLeo Tulifunga Ndoa-[Happy Anniversary]!!!!Tuliamua kufanya kazi za jamii.

›
Bibi Na Bwana tukielekea kuungana na Wapendwa katika kazi jamii/kujitolea   Mama Mchungaji na mimi Tukifurahia mambo y...
6 comments:

Hadithi hii maana yake nini?

›
Mmmhh katika pitapita zangu kutafuta hadithi za Watoto wetu j'mosi, Nikakutana nahii.. kila hadithi ina mafunzo/maana ili watoto/...
Friday, 26 July 2013

Wimbo Toka Kwa Neema Decoras Milele Nitalisifu Jina Lako!!!!

›
 Ndugu,  Salamu katika Jina la Yesu Kristo,  Ninaitwa Neema  Decoras. Ni muimbaji wa Nyimbo za Injili toka Dar es Salaam, Tanzania...
Thursday, 25 July 2013

Mtu kwao;Leo Tuangalie Jiji La Dar-es-salaam!!!!!

›
Waungwana ;ni Kipengele cha "Mtu Kwao" Leo Tupo/Tuangalie/Tutembelee japo kwa Macho Jiji la Dar-es-Salaam[DAR]Band...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.