Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Tuesday, 29 July 2014

Eid Mubarak Waungwana!!!!!

›
Nawatakia Eid Njema[Eid Mubarak]Ndugu,Jamaa,Marafiki na Wote ..... Muendelee/Muwe na Wakati Mwema,Amani,Upendo na Furaha. "Swahili...
Sunday, 27 July 2014

Muendelee na Jumapili Vyema;Burudani-Angela Chibalonza - Yahwe Uhimidiwe na Nyingine...Na Siku Kama Ya Leo Bibi na Bwana Isaac Walifunga Ndoa [Happy Anniversary]

›
Siku kama ya Leo, Bibi na Bwana Isaac,[Isaacrachel]Tuliungana na kuwa mwili mmoja[Tulifunga Ndoa]. Tuna Mshukuru sana MUNGU katika...
2 comments:
Sunday, 20 July 2014

Natumaini JumaPili inaendelea Vyema;Burudani-Swahilli Worship Songs!!!!!

›
Wapendwa;Natumaini Jumapili  inaendelea vyema,Iwe Yenye Imani,Tumaini,Baraka,Furaha na Amani.... Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani,...
Tuesday, 15 July 2014

Siku Kama Ya Leo da'Sandra-Neema Alizaliwa

›
 Wapendwa/Waungwana;Siku kama ya Leo ,1998.  Familia ya Isaac,MUNGU alitubariki/Kutujaalia mtoto wa kike. Sandra-Neema.U mekuwa ...
2 comments:
Monday, 14 July 2014

Mahojiano na washiriki wa maonyesho ya Utamaduni wa Kenya hapa Washington DC

›
Kati ya Juni 25 na Julai 6, jiji la Washington DC lilikuwa mwenyeji wa maonyesho ya kila mwaka ya yanayohusu maisha a watu na jamii m...
Sunday, 13 July 2014

Tumalizie JumaPili hii na Pastor Donis and Nnunu Nkone- SINGING WITH THEIR CHILDREN

›
Wapendwa;Natumaini MUNGU anazidi kuwabariki na Mnaendelea Vyema na Jumapili hii.. Iwe Njema,Yenye Heri,Baraka,Neema,Tumaini,Utuwema,Fadh...
Friday, 11 July 2014

Jikoni Leo;How to Make Mbaazi,Viazi Vya Tamu Vya Nazi na Mswahili Sheikha Agil

›
Waungwana; "Jikoni Leo"  Mapishi haya yatasaidia sana wanaofunga Mwezi huu[Futari].... Mengi sina nawatakia Mapishi mema. ...
2 comments:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.