Swahili na Waswahili.com

(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!

Friday, 31 October 2014

Wazo La Leo; Na Mswahili-Emu-three Wa Diary Yangu.....

›
WAZO LA LEO: Sio kila jambo la heri laweza kirahisi tu, kuna mambo mengine huja na mitihani yake, lakini mwisho wake huwa ni neema,...
Wednesday, 29 October 2014

Jikoni Leo;Sheikha Agili-How to Make Swahili Biriyani..!!!!!!

›
Waungwana;" Jikoni Leo" na Sheikha Agili,Jinsi ya Kupika Swahili Biriyani.. Mimi nimpenzi wa mapishi ya bi Sheikha.. Nawe ka...
2 comments:
Monday, 27 October 2014

Mswahili Wetu Leo;Da'Zahabu Luciannne -Tabia Ya Bibi mbele ya Bwana[Haya Wamama wa Ng'ambo kazi kwenu]..

›
Waungwana; Mswahili wetu Leo...da'Zahabu Lucianne... Haya Wamama wa Ng'ambo kwanini Hamuwaheshi ma Bwana?  Mnasugulishaga ma Bwana...
6 comments:
Sunday, 26 October 2014

Wapendwa muendelee na Jumapili Vyema;Burudani-Pole wana Congo Uamusho,Wasiwasi mjini, Choir CBCA Bugabo/ Bukavu, RD-CONGO,

›
Wapendwa;Nawatakia Jumapili Njema yenye ,Amani,Busara,Hekima na Kupendana Kindugu.. Neno La Leo;Warumi:13:1-14 Kupendana kindugu ...
Wednesday, 22 October 2014

Jikoni Leo;MAman Nicole loboko cuisine congolise tilapia na mayebo..!!!

›
Waungwana;" Jikoni Leo" Tupo Congo kwa Mamaa Nicole. Mengi sina tujifunze Mapishi tuu..kama Lugha gongana/inasumbua, samahani ...
Monday, 20 October 2014

Kutoka Sauti Ya Mwanamke;Mke wangu HAFANYI KAZI !!!

›
Mazungumzo kati ya Mume (M) na mwanasaikolojia (S) S: Unafanya kazi gani Bw. Bandy? M: Nafanya kazi kama mtunza fedha benki. S: Mkeo...
Sunday, 12 October 2014

Nawatakia JumaPili Njema;Burudani-HALELUYA By HemanChoir[Rwanda],NZAMBENA NGUYA byFranck Mulaja[Congo] Na....

›
Wapendwa;Nawatakia jumapili Njema,Yenye Baraka,Amani,Upendo,Hekima,Kweli na Upole kiasi.... 1 Naye Yehoshafati mwanawe alitawa...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Rachel Siwa
View my complete profile
Powered by Blogger.